Naomba kufahamu Kiwanda cha mifuko rejea

b yaoman

Member
Joined
Sep 11, 2020
Posts
44
Reaction score
59
Habari za muda huu wakuu...naomba kufahamu kiwanda au mahali nitakapo pata mifuko hii ikiwa kiwandani kilipoa jumla nahitaji mingi sana ikiwekana nifamu na bei zake
 
Sokoni kariakoo ukitoka Maduka ya tahafif
Ukihitaji namba naweza kukupatia m
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…