Naomba Kufahamu: File la kesi baada ya kukamilika kwa upelelezi huchukua muda gani?

Chance ndoto

JF-Expert Member
Mar 8, 2017
2,981
7,074
File la kesi baada ya kukamilika kwa upelelezi huchukua muda gani kufanyiwa kazi linapofika katika ofisi za DPP (Sasa ziko Dodoma). Maana upelelezi unachukua mwaka mmoja vipi huko mbele je!

Ningependa kufahamu kwa watu mliokaribu na ofisi husika au wajuzi wa fani hiyo.

Asante
 
Back
Top Bottom