Naomba kufahamu faida za Muungano wetu na Zanzibar

General Nguli

JF-Expert Member
Apr 22, 2022
1,116
2,285
Wakuu mi ni Mtanzania pekee ambae mpaka sasa hivi ukiniuliza faida kuu 5 za Muungano wa Tanzania na Zanzibar nitakujibu moja kuwa ni kuimarisha usalama wa Tanganyika na Zanzibar.

Ila ni muda sasa sijafahamu ama kushuhudia faida za wazi kabisa juu ya Muungano wetu.
Hivyo nimekuja hapa Jukwaani kuomba msaada wakufahamu faida lukuki tunazo faidika waTanganyika na Wanzibar juu ya huu Muungano.

Shukrani zangu ziwaendee wale mtakao nifundisha vyema
 
Hapa napata shaka hata usikute wakuu mbali mbali wanapita kando kwenye huu uzi lihali tuna njaa za kutaka Maarifa.


Jinsi Wanavyopita Sasa Hao Wakuu Kwenye Huu Uzi
IMG_1189.jpg
 
Humu mpaka Graduate wa Mlimani na vyuo vingine pamoja na Malacture wao wana katiza hovyo hovyo.
 
Lengo ni usalama hakuna kingine.

Ukiangalia nchi yetu hii ilivyo na siasa zake utagundua kule kisiwani kungekuwa kuna jitegemea basi kunge kuwa na threat kubwa bara.

Sababu ni nyingi sana mtu naharibu bara nazamia zenji na hakuna cha kunifanya
 
Muungano unafaida kwa tabaka tawala hasa la walioko zenji hao ndio wanaushikilia kwa nguvu zote.

Muungano ni mzuri kama huu upuuzi wa zenji kuwaona watanganyika kama mamluki,infact inshu ya serikali mbili ndaji ya nchi moja ni upuuzi mtupu.
 
Lengo ni usalama hakuna kingine
Ukiangalia nchi yetu hii ilivyo na siasa zake utagundua kule kisiwani kungekuwa kuna jitegemea basi kunge kuwa na threat kubwa bara.
Sababu ni nyingi sana mtu naharibu bara nazamia zenji na hakuna cha kunifanya
Ahsante umefafanua kijasusi zaidi.
 
Ila ni muda sasa sijafaham ama kushuhudia faida za wazi kabisa juu ya Muungano wetu.
Hivyo nimekuja hapa Jukwaani kuomba msaada wakufahamu faida lukuki tunazo faidika waTanganyika na Wanziba juu ya huu Muungano.
Faida Kuu ya kwanza ya huu muungano wetu adhimu ni uwepo wa taifa la Tanzania!. This is very big thing!.
P
 
Back
Top Bottom