Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,759
- 37,374
Hii gari mala ya kwanza kukutana na neno la limited Edition ni kwa GSM.
Ila sio kila anayemiliki land cruiser v8 anaweza kuwa na hii kitu au model zote za shangingi.
nchi za kiarabu ndio magari yao pendwa sana ikiongezewa Limited Edition.
Ni kipi kinapelekea na kwa nini inamilikiwa na Matajiri wasio na mawazo.
wapo wanaomiliki land cruiser ili neno likiongezeka kazi unayo.
Mafundi tunaomba ufafanuzi na wajuzi.