Philemon38
Member
- May 30, 2018
- 74
- 33
Nina YouTube channel Yang ambayo kuna video niki upload zinaweka Msitar mwekundu kwa chini na kuna nyingne zinaweka huo Msitar baada ya kuwa viewed, je tatizo Ni nini👇👇
asante sana mkuuHakuna tatizo,Ni ishara hiyo video usha view tayari
👍👍Tatizo la muda mfupi huo mstar utatoka tu