Naomba kufahamishwa

Kimbweka

JF-Expert Member
Jul 16, 2009
8,597
1,683
Habarini wandugu
Naomba kwa anayefahamu,kuchukua fomu ya kuomba kuvuta umeme wa tanesco kwenye nyumba ni bei gani?
 
Habarini wandugu
Naomba kwa anayefahamu,kuchukua fomu ya kuomba kuvuta umeme wa tanesco kwenye nyumba ni bei gani?

Nenda Tanesco kwenyewe ili upate jibu la uhakika, isije ikawa unahtaji minguzo mingi hapa utaishia kupewa data hafifu bure
 
Nenda Tanesco kwenyewe ili upate jibu la uhakika, isije ikawa unahtaji minguzo mingi hapa utaishia kupewa data hafifu bure
Mkuu alichoomba kujulishwa mtoa mada ni gharama za kuchukua fomu ya maombi ya umeme na c gharama za kuingiza umeme.
Fomu ya maombi ni bei moja kama nilivyoainisha hapo juu bila kujali unahitaji nguzo nyingi au hauhitaji kabisa.
Nawasilisha!
 
Back
Top Bottom