Chupayamaji
JF-Expert Member
- Sep 19, 2017
- 5,779
- 13,704
Sasa yapata miezi sita ofisi za Bolt zimefungwa bila taarifa na hawajulikani waliopo, na Wanafanya kazi na na kuendelea kupokea commission kutoka Kwa madreva na Abiria na Mamlaka husika zipo kimya.
Kampuni imejisajili kufanya kazi hapa nchini lakini Haina ofisi hapa nchini je serikali haioni hili ni tatizo Kwa nchi?
Kwani nani yupo nyuma ya Hawa bolt madereva wanalalamika kuibiwa pesa Zao za miamala ila hawana usaidizi wowote.