Naomba kufahamishwa namna ya kuondoa google account kwenye simu

A man with no name

JF-Expert Member
May 7, 2017
1,098
1,498
Habarini wanandugu kama kichwa kinavyojieleza naomba kufahamishwa namna bora yakuondoa google account kwenye simu ikiwa nimesahau password za hiyo email
Naamini nitapata msaada katika hili
 
Unakwama wapi?

Hiyo simu ilikuwa imeibiwa
Jamaa alickokifanya ni kureset simu ili afute password
Bahati nzuri imeishia hapo ambapo inadai email na jamaa haifahamu
Kama ni infinix au tecno aingie you tube kuna tutorial kibao za email bypass nadhani atatatua shida yake
Ila mwenye simu akimtrack ajue amekamatika
 
Habarini wanandugu kama kichwa kinavyojieleza naomba kufahamishwa namna bora yakuondoa google account kwenye simu ikiwa nimesahau password za hiyo email
Naamini nitapata msaada katika hili
Ungetaja aina ya simu ningeweza kukuandikia hatua kwa hatua
 
"Kuondoa Google Account" au "Ku bypass Google Account Verification"?

Hicho ulichokutana nacho ni Layer ya juu zaidi ya Protection ambayo Google wameiweka kwenye recent versions za Android

Ku bypass hio protection lazima utwambie hio ni aina gani ya simu,na uliipata kwenye mazingira gani tusije jikuta tunasaidia mwizi
 
Hiyo simu ilikuwa imeibiwa
Jamaa alickokifanya ni kureset simu ili afute password
Bahati nzuri imeishia hapo ambapo inadai email na jamaa haifahamu
Kama ni infinix au tecno aingie you tube kuna tutorial kibao za email bypass nadhani atatatua shida yake
Ila mwenye simu akimtrack ajue amekamatika
Hapana ndg niibe simi kwani sifahamu Police na TCRA
Au kila anaeuliza hapa anakuwa mwizi
 
Kwa simu zenye cloud kama iphone na baadhi ya samsung, lazima uweke password! Kama hauna password mwenye simu anaijua,nenda kamuulize.
 
kwanza thibitisha ni simu yako, tukiridhika tutajie aina ya simu tukusaidie kuondoa hiyo factory reset protection. Kwanza email yako unasahau vipi password
 
Habarini wanandugu kama kichwa kinavyojieleza naomba kufahamishwa namna bora yakuondoa google account kwenye simu ikiwa nimesahau password za hiyo email
Naamini nitapata msaada katika hili
Simu ipo stage gani mkuu?? Ulifanya factory reset? Nj simu ya aina gani??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom