Naomba kufahamishwa mafanikio ya AU!

Naomba kufahamishwa mafanikio ya AU!

GoldDhahabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2023
Posts
7,648
Reaction score
10,844
Zaidi ya kubadilisha jina kutoka OAU na kuwa AU, ina mafanikio gani tena?

Mtandaoni wameandika andika lakini sijawaelewa!

1. Ni kweli imefanikiwa kuondoa ukoloni barani Afrika?

2. Ni kweli imefanikiwa kuondoa migogoro miongoni mwa wanachama wake?

3. Ni kweli...?
 

Attachments

  • Screenshot_20250508-223005.jpg
    Screenshot_20250508-223005.jpg
    472.6 KB · Views: 15
AU ni kama makutano Nyakanga, viongozi wa Africa wanakutana kutafuna fedha za nchi zao. Wanapiga stori kupeana maujanja ya kuiba kura, kuwakon'gota wapinzani wao wakimaliza wanarudi ku practice walichojifunza.
 
Back
Top Bottom