Naomba kufahamishwa kuhusu Kagango sec school

chiddy boy

Member
Jan 2, 2017
86
25
Wakuu naomba kufahamishwa juu ya hii shule iliyoko Kagera wilaya ya Biharamulo, katika swala la mazingira, taluuma na pia miundombinu ya umeme kwaajili ya kujisomea na pia maji.

Nawasilisha kwenu wakuu kwa maoni yenu
 
Wakuu naomba kufahamishwa juu ya hii shule iliyoko kagera wilaya ya biharamulo,katika swala LA mazingira,taluuma na pia miundombinu ya umeme kwaajili ya kujisomea na pia maji,
Nawasilisha kwenu wakuu kwa maoni yenu
Ipo Biharamulo town, nusu kilometer toka stand kuu ya mabasi. Kwa upande wa advanced level inafanya vizuri sana.

O'level ni mchanganyiko me na ke ila A'level ni madume tupu. Umeme na maji vipo, hali ya hewa ni nzuri na Ukitaka warembo utajichagulia mmoja madarasa ya O level.

Haya ni matokeo yao ya mwaka jana
4932c959a0e23095f9564820ede8a7be.jpg
 
Ahsante mkuu kwa detail yako nmekupata
 
Watoto mnaoenda kusoma kasomeni kwa bidii msiende kuendekeza ya mabraza men mara mademu na kushndana kupost.... Hayo ndo nayajua khs hyo shule
 
usiwe na shaka kabsaa,umechaguliwa shule iliyopo ktk mazingira mazuri ya kiofisi(halmashauri) na usafiri(stendi) kuliko aliyechaguliwa biharamulo sec...
 
Back
Top Bottom