mkandu
JF-Expert Member
- Dec 29, 2016
- 335
- 460
Katika pita pita yangu ya kwenye mitandao nimekutana na jina la dada wa baba mdogo na kiasli jina la ukoo wetu sijapata kulisikia sehemu yoyote zaidi ya ukoo wetu hilo sio la kutania namaanisha haswa ila kilichonishangaza yeye kaishia darasa la saba na ashaolewa kitaambooo ila nakutana na jina linalotofautiana herufi moja tu ila mengine yote yanafanana
RABIA S.
SABIA S.
Kinachoshangaza SABIA ni msomi wa chuo kikuu na kila nikijaribu kufatilia nashindwa kupata uhalisia wa hili kwa kuwa hamna koo nyingine inatumia hili jina
RABIA S.
SABIA S.
Kinachoshangaza SABIA ni msomi wa chuo kikuu na kila nikijaribu kufatilia nashindwa kupata uhalisia wa hili kwa kuwa hamna koo nyingine inatumia hili jina