Nyingi za shule hizo mkuu hazijakidhi viwango na nyingi Sana hazijasijiriwa na wizara husika
Lakini wengi hupenda kuanzisha ndo baadae wanafuatilia usajiri husika. Lakn mara nyingi huanzisha kama tuition kwa Watoto baadae wanazigeuza kuwa shule za awali
Tatizo wakija wakaguz huwa ni shida Sana maana unajikuta huna kibali, eneo siyo rafiki kwa Watoto na mambo mengine mengi
Jambo la muhimu Sana mkuu ni kuanzisha hiyo shule huku taratibu ukizifuatilia taratibu