Naomba Kufahamishwa Gharama za Uagizaji Gari

Muzii

Senior Member
Apr 13, 2010
168
73
Heshima kwenu wakuu. Naomba kufahamishwa gharama za uagizaji gari ambalo bei ya kununua na kusafirisha hadi bandari ya DSM ni USD 4,970 ambayo kwa kubadirisha na fedha yetu ya madafu kwa kiwango cha Tsh 1,650 inakuwa kiasi cha Tsh 8,200,500/= gari ni la mwaka 1995 lina cc 2,500. je gharama ya Dumping itakuwa kiasi gani kwa vile limezidi miaka 10. Natanguliza shukrani.
 
Asante mkuu kwa msaada wako ingawa sijaelewa vizuri ukokotoaji toka jedwali husika
 
jamani je kama pikipiki (bodaboda) lakini lipo yan bado alijafungwa lipo kwenye box kule hongkong nimenunua $250 ghalama za upakiaji ni $100 lina cc 150 je nami ntalipia sh ngapi?
 
Mkuu ngoja nikusaidie kdogo kwa ufahamu wangu wa computation of duty
kwanza utachajiwa import duty =25% of CIF in local currency
pili utachajiwa excise duty
(i)ED ON CC =(CIF+ID)*10%
(ii)ED ON AGE=(CIF+ID)*20%
Tatu utachajiwa VAT=(CIF+ID+ED ON AGE+ED ON CC+Any other duty)*18%
jumla ya chaji utakazochajiwa ni =ID+ED ON AGE+ED ON CC+Any other duty+VAT
Any other duty inaweza zikawa gharama kama vile port charge clearance charge na dumping duty ambazo hazipo so specific, bt zipo kisheria. Ni hayo tu mkuu kwa leo, nikimaliza field yangu nitakuwa xpect zaidi
 
wakuu mimi naomba mnisaidie kukadiria gharama za kodi, nimejaribu kuisoma ile table nimeshindwa. Particulars
CIF DAR = USD 2738
FOB =USD 1448
CC = 1290
particulars nyingine kama inavyoonekana hapa chini. nisaidieni uzuri na ubaya wa hii gari na nitegemee kulipa kodi kiasi gani
Model CodeE-EP91
Registration Year/Month1998/11
Model GradeLIMIX
 
wakuu mimi naomba mnisaidie kukadiria gharama za kodi, nimejaribu kuisoma ile table nimeshindwa. Particulars
CIF DAR = USD 2738
FOB =USD 1448
CC = 1290
particulars nyingine kama inavyoonekana hapa chini. nisaidieni uzuri na ubaya wa hii gari na nitegemee kulipa kodi kiasi gani
Model CodeE-EP91
Registration Year/Month1998/11
Model GradeLIMIX

What is the make of the car?
 
Unfortunately I have not been able to locate your car model in the TRA list of current retail selling prices (CRSP). Without the current retail price, it is impossible to calculate the taxes you might be expected to pay.

TOYOTA STARLET E-EP91 GRANZA V
 
toyota starlet mkuu

The only Toyota Starlet in the TRA CRSP list gives the following tax estimates:

Toyota Starlet - 1330cc
Year of manufacture = 1998
Current retail selling price = $18,420
Depreciation rate = 75%
Customs value = $2,378
Import duty = $594
Excise duty = $148
Dumping fee = $594
VAT = $669
Total taxes = $2,007
 
The only Toyota Starlet in the TRA CRSP list gives the following tax estimates:

Toyota Starlet - 1330cc
Year of manufacture = 1998
Current retail selling price = $18,420
Depreciation rate = 75%
Customs value = $2,378
Import duty = $594
Excise duty = $148
Dumping fee = $594
VAT = $669
Total taxes = $2,007

nadhani hata ya kwangu ina fall hapa. at least nimepata picha
 
Back
Top Bottom