Naomba kufahamishwa akaunti bora za kutunza fedha

cleverr

Senior Member
Mar 3, 2020
138
137
Habari wakuu,

Naombeni msaada wa account nzuri kwa ajili ya saving ile ya vijiehela kidogo kidogo daily na ambayo ntaweza kuweka na kutoa muda wowote isiwe FIXED. Pia isiwe na zile monthly charges then ikiwa MasterCard itafaa zaid.

Shukran
 
Fungua Account ya wadu (weka akiba daima unavyopata) mzee kutoka bank ya TPB... Mahitaji ni barua ya utambulisho toka kwa mtendaji, any IDs Kama mpiga Kura, uraia, leseni au pasipot, passport size 4 na kianzio minimum 20,000
 
Mkuu habari, mimi nakushauri uweke akiba yako pale Jubilee Life Insurance wana hii product inaitwa PPP (Personal Pension Plan) ambayo interest yake minimum ni 5% guaranteed. Unaweza itoa muda wowote bila makato na haina charges zozote (hata tax hamna). N nzuri kwa kuwa unaweka unavyotaka na unaweza wek pesa hata kwa njia ya simu pasipokuwa na makato yoyote.

Hope that helps.
 
Msaada maelezo kam gharama za kujisajili,je n unapewa card au ni huduma za simu tu
 
Fungua Account ya wadu (weka akiba daima unavyopata) mzee kutoka bank ya TPB... Mahitaji ni barua ya utambulisho toka kwa mtendaji, any IDs Kama mpiga Kura, uraia, leseni au pasipot, passport size 4 na kianzio minimum 20,000
Saw mkuu,hii wanatoa riba au ni saving ya kawaida
 
Mkuu habari, mimi nakushauri uweke akiba yako pale Jubilee Life Insurance wana hii product inaitwa PPP (Personal Pension Plan) ambayo interest yake minimum ni 5% guaranteed. Unaweza itoa muda wowote bila makato na haina charges zozote (hata tax hamna). N nzuri kwa kuwa unaweka unavyotaka na unaweza wek pesa hata kwa njia ya simu pasipokuwa na makato yoyote.

Hope that helps.
Hao PPP ni kina nani
 
Fungua NMB bonus account, utahitaji passport size, barua kutoka LGA na ID.
Amana ya mwanzo ni 50,000
Pesa unaweza kuweka sehemu yoyote kama akaunti zingine ila kutoa pesa mpaka dirishani. Haina gharama za uendeshaji akaunti na inalipwa riba
Hii account ya NMB unaruhusiwa kutoa pesa mara moja tu kila miezi mitatu ili kuendelea kupata riba. Ukitoa zaidi ya mara moja every quarter ujue huwezi pata riba. Unapoteza legibility ya kupata interest. Pengine wachache hawafahamu hili.
 
Hii bas ndio njema ngoja niifukuzie
 
Mkuu habari, mimi nakushauri uweke akiba yako pale Jubilee Life Insurance wana hii product inaitwa PPP (Personal Pension Plan) ambayo interest yake minimum ni 5% guaranteed. Unaweza itoa muda wowote bila makato na haina charges zozote (hata tax hamna). N nzuri kwa kuwa unaweka unavyotaka na unaweza wek pesa hata kwa njia ya simu pasipokuwa na makato yoyote.

Hope that helps.
Mkuu hawa wako wapi??
 
Back
Top Bottom