Sie Wenye 2.6 ndo basi tena?GPA 2.7
Unasoma post graduateSie Wenye 2.6 ndo basi tena?
Asante Mungu sikuwa Jf kipindi choote cha msiba'
Sawa mkuu,ngoja nitafute hela.Unasoma post graduate
Then ndio Masters
PoaSawa mkuu,ngoja nitafute hela.
Asante Mungu sikuwa Jf kipindi choote cha msiba'
Nilitoka jf miezi kadhaa,mpaka kifo kinatokea sikuwa jf.Bora sikuwepo maana!Poa
Ulikuwa kuomboleza?
Kwani ingekuwaje??Nilitoka jf miezi kadhaa,mpaka kifo kinatokea sikuwa jf.Bora sikuwepo maana!
Ningefungwa kwa kushangiliaKwani ingekuwaje??
Haha haya bhana..!Ningefungwa kwa kushangilia
Kijana kusoma postgraduate yaani master degeer ni nzuri, ila ukiwa na hela yako binafsi na si hela ya wazaziWapendwa katika bwana, kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa pili nasoma Degree ya Business Administration nina mpango wa kusoma mpaka ngazi ya Masters nikihitimu Degree yangu ya kwanza hivyo naomba msaada wenu juu ya qualification zipi zitakazonifnya nijoin na masters hasa Masters in B'ness Administration (MBA).
Lakini pia ningependa kufahamu kama kuna possibility ya kupata scholarship na ni nchi gani ambayo ina opportunity nyingi na inayotoa full scholarship.
NOTE: Naheshimu mawazo ya kila mtu hivyo naomba msaada wako kaka na dada zangu.
Ningependa kuuliza ukianzia diploma ukapata gpa ya 4.5 unaweza kwenda kusoma degree na kama unaweza unapata mkopo
Ndio unaweza na unapata mkopo piaNingependa kuuliza ukianzia diploma ukapata gpa ya 4.5 unaweza kwenda kusoma degree na kama unaweza unapata mkopo
Pakua postgraduate admission guide ya tcu ya mwaka huu kwenye website yao. Sio kila course ni 2.7Wapendwa katika bwana, kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa pili nasoma Degree ya Business Administration nina mpango wa kusoma mpaka ngazi ya Masters nikihitimu Degree yangu ya kwanza hivyo naomba msaada wenu juu ya qualification zipi zitakazonifnya nijoin na masters hasa Masters in B'ness Administration (MBA).
Lakini pia ningependa kufahamu kama kuna possibility ya kupata scholarship na ni nchi gani ambayo ina opportunity nyingi na inayotoa full scholarship.
NOTE: Naheshimu mawazo ya kila mtu hivyo naomba msaada wako kaka na dada zangu.