Guy Isaac
Senior Member
- Aug 10, 2019
- 126
- 60
Wapendwa katika bwana, kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa pili nasoma Degree ya Business Administration nina mpango wa kusoma mpaka ngazi ya Masters nikihitimu Degree yangu ya kwanza hivyo naomba msaada wenu juu ya qualification zipi zitakazonifnya nijoin na masters hasa Masters in B'ness Administration (MBA).
Lakini pia ningependa kufahamu kama kuna possibility ya kupata scholarship na ni nchi gani ambayo ina opportunity nyingi na inayotoa full scholarship.
NOTE: Naheshimu mawazo ya kila mtu hivyo naomba msaada wako kaka na dada zangu.