leo dada
JF-Expert Member
- Oct 26, 2023
- 2,952
- 14,860
Niko vijijini huku nikifika mjini ntakutafutaMilion 5 kwa simu! Siri-kali itaanza kunifatilia na kunibambikia kesi ya uhujumu uchumi, wewe tukutane nikupatie keshi uzuri sinaga tamaa za kipuuzi maana mimi ni mtakatifu pale MT Adrew.