Wanao jua waje kutuelimishaKwa yeyote mwenye kujua...
Umuhimu wake,
Tofauti yake na hizi nyingine,
Matumizi yake,
Kuna watu kama wa tatu hivi wanazisifia ila sasa ukiwauliza zina nini cha ziada/tofauti hawanipi majibu zaidi ya kuniambia ni kama walleti..