Naomba kuelimishwa kuhusu Hizi kadi za NMB Prepaid

Pantomath

JF-Expert Member
Jan 4, 2019
789
3,230
Kwa yeyote mwenye kujua...
Umuhimu wake,
Tofauti yake na hizi nyingine,
Matumizi yake,

Kuna watu kama wa tatu hivi wanazisifia ila sasa ukiwauliza zina nini cha ziada/tofauti hawanipi majibu zaidi ya kuniambia ni kama walleti..
 
ni kadi ambayo ukiwa nayo unaweza kufanya malipo online lakini pia unaweza kulipia bidhaa kwenye maduka yenye mfumo wa kulipa online
pesa unaziweka kama unavyoweka kwenye akaunti nyingine
 
Kwa yeyote mwenye kujua...
Umuhimu wake,
Tofauti yake na hizi nyingine,
Matumizi yake,

Kuna watu kama wa tatu hivi wanazisifia ila sasa ukiwauliza zina nini cha ziada/tofauti hawanipi majibu zaidi ya kuniambia ni kama walleti..
Wanao jua waje kutuelimisha
 
Back
Top Bottom