Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,123
- 93,236
Mambo mrembo
Nifuraha kama mambo yako poa, Umenisusa
[emoji23][emoji23][emoji23] wanawake mna ushikrikano mno ,yaaninjamaa akitaka aharibu aende kuomba ushauri kwa mwanamke .hapo lazima mvutie upande wenuduuh hizi comments full pressure kwa mleta thread. jaribu kumuuliza mkeo hiyo tofauti ni vipi?
Hivi kumbe huwa mnashauriwa kuvumili mkigongewa ?yaan kwa maelezo yako hukupaswa kuoa, ungesubiri kwanza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]watu mmekata tamaa duh!!Lakini si anakujali na haonyeshi dalili zozote za dharau,
We shukuru Tu kikubwa uhai
Za asubuhi
Inawezekana kizazi chake kilikuwa kipo karibu sasa baada ya muda inawezekana pia kutokana na shughuli anazofanya basi huenda kizazi kimerudi nyuma.
Naomba nieleweke hapa: Kwa wasioelewa tu ni kwamba ukiingiza mashine kwa demu na ukihisi unakigusa kitu kama kigololi kwa ndani basi hicho ndio kizazi chenyewe na sio kweli kama wahuni wametengeneza njia.
ᴮᵉʷᵃʳᵉ ᵒᶠ ᵗʰᵉ ᶜᵒᵛⁱᵈ ⁻ ¹⁹ [emoji377]
Hapa wataalam wa afya wanatakiwa kulitolea ufafanuzi, kwa nijuavyo mimi mwanamke akikaribia karibu na siku zake kizazi kinakuwa kipo karibu. Lakini kinachopelekea kizazi kurudi nyuma sielewi!