Emanueli misalaba
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 2,912
- 3,899
Waungwana, Shalom Shalom na kwa jamaa zangu Asalaam aleykum,
Kama ambavyo kichwa husika hapo juu kilivyo, wacha nisiwapotezee muda nijielekeze moja kwa moja kwenye maswali kwa Watanzania wenzangu.
Nimekuwa nikisikia tu kitu kinachoitwa Deep State ingawa kiundani sikijui.
Hapa JF bila shaka nitaelimishwa na kuelimika.
✍️ Deep state yetu Tanzania inaundwa na watu wagapi?
✍️ Deep state hii inajishughulisha na shughuli zipi na zipi?
✍️ Ili mtu aweze kuwa mwanachama wake anatakiwa awe na sifa zipi na zipi?
✍️ Je, Deep state ni zaidi ya Tanzania Intelligence Security Service na ni zaidi ya taasisi ya urais wa JMT au?
✍️ Deep state ofisi zao zipo kila sehemu nchi au wapo sehemu moja?
✍️ Je, Deep state upande wa kifedha za kujiendesha wanategemea bajeti kutoka serikali kuu au?
Natanguliza shukurani nyingi saaana kwenu.
Mzidi kubarikiwa na Mungu Mwenyezi.