Naomba kuelimishwa juu ya kozi ya Fitter Mechanics

Sep 19, 2023
8
7
Heshima kwenu wakubwa zangu, mimi ni kijana wa miaka 19 nimemaliza kidato cha nne 2023, bahati mbaya sikufaulu kuendelea kidato cha 5, nikaamua niombe kusoma chuo cha veta kozi ya Welding and Fabrication.

Baada ya kufanya maombi na mtihani, wamenipangia kusoma FITTER MECHANICS, mimi napenda mambo ya Fabrication sana. Je, kwenye hii kozi ya FITTER MECHANICS inafundishwa na Fabrication na weldings?

Asante yoyote atakaenisaidia
 
FITTER MECHANICS INAHUSIANA NA MASUALA YA UCHONGAJI WA VYUMA NA KUTENGENEZA SEHEMU ZA MASHINE ZILIZOLIKA. KWENYE FITTER MECHANICS UNWEZA AJIRIWA KWENYE KIWANDA CHA CHUMA AU MIGODINI ILI UTUMIE MACHINES KAMA LATHE MACHINE KUCHONGA VYUMA
 
Mdogo angu hiyo fani achana nayo itakutesa tu huku mtaani hizo mashine ni chache sana na ukisema ujiajiri ndio ngumu zaidi hizo mashine za kuchonga vipuri zinauzwa bei mbayaaa..ila veta wanamatatizo sana kwanini wakupe fani isiyo chaguo lako?
 
1702823243835.png
 
Back
Top Bottom