Naomba kuelimishwa juu ya .co.tz na .com

Naomba kuelimishwa juu ya .co.tz na .com

Asante sanaa mkuu, nimeshiba vizuri sana.

so unaweza nielekeza website developer mzuri mwenye cost nafuu, pia napenda kujua kuna cost zozote utakazo lipia kwa mwezi au mwaka n.k? baada ya kuanza ku -run .co.tz

Asante sanaa.



Developer ni mm mwenyewe huwa nafanya on my free time cost ipo hivi

Hosting na domain ni Kwa mwaka no monthly fee labda kama unataka ufanyiwe seo-search engine optimisation hii ni Kwa ajir ya Ku index website yako ionekane Google na other search engines

Tembelea apa www.ariseandshinetechnologies.co.tz au nicheki via 0714611836

Karibu sana
 
Asante mkuu, Gharama za uendeshaji wake na zaidi kama unajua mkuu, Asante.

OK mkuu binafsi ni kazi yangu ni Web developer ila tuh ninakushauri upate kwanza domain name na host kwa gharama nafuu nenda one.com utapata domain name kwa £10 na free host for whole year then unalipa around £14 annual fee for host after every year.....ukishanunua hizo domain/host unaweza nitafuta mkuu
 
Back
Top Bottom