Habari!
Naomba kuelewesha vitu hivi kwa utofauti, katika utendaji kazi, usalama wa mfumo, gharama za kuendesha...n.k
Asanteni kwani naona website zikiwa hivyo, nipo njiani kufungua nami for coy.
IPO hivi boss
.com means commercial and this domain is globally so anyone can use mostly for commercial
.co.tz means commercial in tz(Tanzania) hii inatangaza nchi pia,that's why unaweza ona za .co.ke,.co.ug,.co.UK
.org means organization its a global domain
.or.tz mearns organization in Tanzania.
.org na .or.tz hutumiwa na mashirika like NGO ,hushauriwi kama unataka website ya NGO kutumia .com domain names
.ac.tz or .ac.ude or .ac.uk hz ni for academic institutions like vyuo,sasa kujua Chuo kipo wapi unajua by .tz means Tanzania,.uk means united kingdom
Kwa secondary schools and other schools like nursery and primary Kwa Tanzania tunatumia domain hii ya .sc.tz ,sc stands for school
For broadcasting domain inayotumiaka ni .tv BT not limited to .com
So ITV pale wanaweza wakawa na domain zaid ya moja una redirects tu.
Kwa Mtaalamu wa website developer anatakiwa akushaur aina ya domain kulingana na matumiz ya website yako
Makosa yanayotendeka ni MTU ana website ya Chuo ila iko hosted Kwa .co.tz or .com domain hii kitaalam haishauriwi,inayotakiwa ni .ac.tz
Una website ya kituo cha kulea watoto yatima nk usitumie .com au .co.tz hapo unatumia .org au .or.tz
Hopefully umenielewa,
Any question regarding Development either website or applications don't hastate,shoot.