Hao fangu mkuu nenda duka la madawa ya pembejeo upate blue copper au dawa ya kuuwia fangu ( zipo tofauti tofauti ila kunamoja sijaipata vizuri jina inaitwaje wanauza 30,000/= per lt ndio bora zaidi )Naomba anayefahamu dawa ya huu ugonjwa wa parachichi za budding
Mmea unakuwa na utando wa rangi nyeupe kama ungaView attachment 1179767
Shukrani, inauzwa kwa kupimo cha Lita tu? Maana miche yangu ni mitano sidhani kama itaisha.marumizi yake yakoje ya kuloweka na maji?Hao fangu mkuu nenda duka la madawa ya pembejeo upate blue copper au dawa ya kuuwia fangu ( zipo tofauti tofauti ila kunamoja sijaipata vizuri jina inaitwaje wanauza 30,000/= per lt ndio bora zaidi )