Naomba kuelezwa dawa ya kutibu ugonjwa wa parachichi

Negemu

Senior Member
Dec 26, 2017
135
126
Naomba anayefahamu dawa ya huu ugonjwa wa parachichi za budding
Mmea unakuwa na utando wa rangi nyeupe kama unga
IMG_20190812_154437.jpeg
 
Naomba anayefahamu dawa ya huu ugonjwa wa parachichi za budding
Mmea unakuwa na utando wa rangi nyeupe kama ungaView attachment 1179767
Hao fangu mkuu nenda duka la madawa ya pembejeo upate blue copper au dawa ya kuuwia fangu ( zipo tofauti tofauti ila kunamoja sijaipata vizuri jina inaitwaje wanauza 30,000/= per lt ndio bora zaidi )
 
Alafu kuwamsafi bwana safisha shamba ilo 😎😎😎😎 iyo ni mali ya thamani sana aise tena zaidi ya duka kwasababu inayouwezo wakukurisha zaidi ya miaka stini
 
Hao fangu mkuu nenda duka la madawa ya pembejeo upate blue copper au dawa ya kuuwia fangu ( zipo tofauti tofauti ila kunamoja sijaipata vizuri jina inaitwaje wanauza 30,000/= per lt ndio bora zaidi )
Shukrani, inauzwa kwa kupimo cha Lita tu? Maana miche yangu ni mitano sidhani kama itaisha.marumizi yake yakoje ya kuloweka na maji?
 
Hili shamba kama unaona kusafisha gharama basi upande hata maharage ili uendelee kulitunza shamba na hiyo miche.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom