Naomba kueleweshwa maana ya taarifa hii ya Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu (HESLB)

🤔🤔🤔🤔🤔yalikukuta yepi mkuu
kesho nataka niende pale kwenye ofisi za bodi ya mikopo nikaulize kunanini maana nilikosa mkopo mwaka jana kiasi cha kupelekea kushindwa kuendelea na masomo na tena mwaka huu nina kosa mchana kweupeeeeee dah aseeeee vyuo vya serikali visingekuwa na ngekewa ya lete hela toa hela hela ingesaidia wengine na mm hata kulipa kidogo kidogo.mwaka mzima .
 
Pia, ulizia kama kuna batch nyingine ya wanufaika na kama ipo ni lini wataitoa..?
Maana wiki hii ni ya mwsho usajir
 
Vijana mmiosubiria batch 3 ingieni kwenye account zenu mda huu.. Heslb wameachia mikwanja huko
 
Me nimepata ijumaa ucku mzee baba
Me nimepata ijumaa ucku mzee baba
Me nimepata ijumaa ucku mzee baba
Me nimepata ijumaa ucku mzee baba
Me nimepata ijumaa ucku mzee baba
Me nimepata ijumaa ucku mzee baba
Me nimepata ijumaa ucku mzee baba

VP jomba mbana Daaah...!!
Subiria kesho tu
 
Punguzeni presha wadau,me naona haya mambo bahati tu sometimes,muombeni Mungu Kama ni baht bac na nyie iwaangukie.kama cc wengine tumeripoti chuo hatujui tutasomaje tukikosa mkopo,lakini tumeomba Mungu Kama baht bac na me mnyonge npate,na Kuna wengine had sa hv hawajapata Kama nyie wameamua wameanze kulipa semister ya kwanza
 
Wadau "APPEAL WINDOW IS OPENED" kwa anaejua process za kuappeal zinafanyikaje aje atupe mwongozo maana kwenye SIPA sioni pa kuanzia
 
UTARATIBU WA KUKATA RUFAA KWA WALIOKOSA MKOPO AU HAWAJARIDHIKA NA ASILIMIA WALIZOPATA
kwanza kabla hawajafungua dirisha la rufaa (appeals window) bodi ya mkopo HESLB lazima watenge kiasi cha fedha kwaajili ya hao watakao kata rufaa, kwahiyo ni watoe wasiwasi katika hilo.

utaratibu uko kama ifuatavyo:–
1. Ingia katika akaunt yako kupia olas. Heslb. go. tz

2. nenda kwenye sehemu iliyoandikwa allocation status bofya hapo kisha utaletewa sehemu ya kufungua akaunt yako,
≈form IV index no
≈password
≈security code
ukiingiza taarifa hizo basi itafunguka.

3. nenda kwenye sehemu iliyoandikwa appeal now kisha click hapo itafunguka na utaanza hatua za kukata rufaa kwa kufuata maelekezo.

4.bofya na jisajili kwa kujaza vipengele vyote sehemu yenye alama "x" yenye rangi nyekundu upande wa kushoto.

5.kisha kamilisha fomu yako kwa kuiprint ukishaijaza vipengere vyote hivyo.

6.ukishaiprint fomu yako unatakiwa kusaini fomu yako katika ukurasa wa tatu (page 3)

7.baada ya kusaini fomu yako katika ukarasa wa 3 basi unatakiwa kuituma tena /kuaplod fomu yako katika ukurasa wa 3 kwanjia ya mtandao

8.wasilisha fomu yako submit kisha unatakiwa kubaki na nakala yako kama kumbukumbu yako.

suala la kukata rufaa hakuna ada wala gharama yoyote , tembelea SIPA yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ukibonyeza kwenye allocation status hakuna kinachofunguka; hata ukiwa kwenye https://olas.heslb.go.tz/ ambapo kuna nafasi ya appeal now (kushoto) bado hakuna kinachofunguka!
 
Hello guys,

Hivi kuappeal unaweza badilisha details za mfano mdhamini?, je inahusisha kwenda tena serikali za mitaa? Je watu huwa wanapata after appeals?
 
Back
Top Bottom