Jaman habar za sasa hiv wanajamvi ? Naomba kuuliza hiki kitu maana nakisikiaga tu hivi mtu akipata scholarships ndio inakuaje kuaje?
Shukran sana mkuu nimekuelewa vzrUnapata ufadhili wa kulipiwa ada ya shule au pesa ya kujikimu inaweza kuwa full au partial kutegemea na mfadhili. kama ni nje ya nchi unalipiwa na ticketi ya ndege kwenda na kurudi na pesa ya kujikimu pia inategemea na mfadhili.. mfadhili mwingine anakulipia hadi na member wa familia yako kama mke na watoto utakaosafiri nao...nimekujibu tu kondoa lawama ila wewe utakua na matatizo sio bure!
Unapata ufadhili wa kulipiwa ada ya shule au pesa ya kujikimu inaweza kuwa full au partial kutegemea na mfadhili. kama ni nje ya nchi unalipiwa na ticketi ya ndege kwenda na kurudi na pesa ya kujikimu pia inategemea na mfadhili.. mfadhili mwingine anakulipia hadi na member wa familia yako kama mke na watoto utakaosafiri nao...nimekujibu tu kondoa lawama ila wewe utakua na matatizo sio bure!