Naomba kueleweshwa kuhusu real estate

LellozWho

Member
Jul 13, 2021
89
121
Habari..!

Nimeingia kwenye real estate mwaka huu.
Naamini wengi wenye ujuzi mtanielewesha juu ya hili.

Nina property moja imenipatia ukakasi sana hasa upande wa ufundi.

Kila nikihitaji fundi aje kunipatia gharama yake ya ufundi na mahitaji ya kazi Basi inanilazimu nimlipe.

YANI YEYE AJE KUONA KAZI, ANATAKA ALIPWE.

Na ile nadharia ya kutangaza tender ili upate kuona best offer hapa inafanyaje kazi?

Naomba ufaham tafadhali.

Na kwasasa nahitaji fundi wa
fitting for a kitchen cabinets
Frame na milango (4)

Na vingine kadhaa.

Lakini kikubwa kwasasa nahitaji fundi apime na anipatie estimation za jiko.

Wazo lolote litasaidia.
 
Habari..!

Nimeingia kwenye real estate mwaka huu.
Naamini wengi wenye ujuzi mtanielewesha juu ya hili.

Nina property moja imenipatia ukakasi sana hasa upande wa ufundi.

Kila nikihitaji fundi aje kunipatia gharama yake ya ufundi na mahitaji ya kazi Basi inanilazimu nimlipe.

YANI YEYE AJE KUONA KAZI, ANATAKA ALIPWE.

Hii imekaaje!?

🦮🐕‍🦺
 
Kwakweli ni haki ya fundi kulipwa maana kaacha kazi zake na katumia nauli na muda wake na mwisho hana hakika kama hiyo kazi ataipata maana huenda unawaita wengi ukinganishe bei.
 
Ukitaka kazi nzuri, usiwe mtu wa kubana sana pesa. Na hii itakusaidia kupata watu ambao wapo makini na watakao kuwa tayari kufanya kazi yako kwa moyo mmoja.

Ukiwa mtu wa kubana pesa sana hasa katika masuala ya kazi, utapata wakati mgumu sana kupata watu makini walio tayari kufanya kazi yako kwa weledi na moyo mmoja.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Asante sana.

This changed my perspective.
 
Mkuu yaani fundi aje kuangalia kazi yako bure?
Mbona mnadharau kazi za watu?
Gharama zake za kutwa hiyo anayokuja kwako atajilipaje?
Unahakika utampa hiyo kazi au ndio unataka kulinganisha gharama kwa mafundi tofauti?
Ushauri wangu km unaona ubahili kumlipa fundi gharama zake za kuja kuangalia kazi yako achana na hiyo kazi au ifanyie hesabu mwenyewe.
Hakuna kazi ya bure!
 
Umeingia kwenye Real Estate business (Kama ni kweli) bila kufanya homework yako ya kutosha, Go back to your drawing board and DO YOUR HOMEWORK FIRST.
 
Nilihitaji ushauri kwa mwenye ujuzi wa hii tasnia.

Ushauri uwe wazi niuelewe.

Asante kwa muda wako kijana.
 
Mkuu yaani fundi aje kuangalia kazi yako bure?
Mbona mnadharau kazi za watu?
Gharama zake za kutwa hiyo anayokuja kwako atajilipaje?
Unahakika utampa hiyo kazi au ndio unataka kulinganisha gharama kwa mafundi tofauti?
Ushauri wangu km unaona ubahili kumlipa fundi gharama zake za kuja kuangalia kazi yako achana na hiyo kazi au ifanyie hesabu mwenyewe.
Hakuna kazi ya bure!

Sijajua hapa dharau imeingia wapi!
Lakini naona utakua ni fundi.

Mpaka nahitaji ushauri sidhani Kama dharau imehusishwa hapa.

Naamini hakuna anaejua bishara bila kuhusisha mlinganisho wa gharama.

Bahili hawezi anza real estate.
Mimi nimeshaanza. (Umeona utofauti?)

Asante kwa muda wako kijana.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom