Bin Chuma75
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 1,002
- 1,092
Habarini wakuu
Naomba wenye ufahamu wa hizi simu za I phone 6 na 6plus. Matatizo yake common ni nini na ubora wake ni upi na tofauti ya hizo model nini? Naomba kujua kabla sijahesabu mpunga wakuu