Curious gal
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 3,200
- 4,010
Yaani hawa watu basi tu, wanajiamini sana!Kwanini umuombe yeye na siyo wazazi wako?
[emoji3][emoji3][emoji3]umbali wa kulala? Mkuu!Hata mimi lazima nijiulize mara tatu tatu.
Wewe unakuja kukutana na mimi. Sasa kwanini uniombe nikurushie pesa na wakati ukija ukaniomba face to face ndiyo rahisi?
Au kuna umbali wa kulala? Pia nitajua unaniomba pesa ili ujue mimi ni mtoaji au sio mtoaji! Na nisipokutumia ndiyo hauji.
Confidence[emoji123] [emoji123] lazimaYaani hawa watu basi tu, wanajiamini sana!
Ameona ww ni muuza k tuHope mpo poa
Jamani kwa mfano unakuwa na boyfriend na mmepanga kumeet vizuri tu baadae ikatokea kitu ukamwambia naomba unisaidie hela kwa maana kuna mtu anahitaji na mimi nipo mbali na sehemu ya kutuma hela isitoshe haujawahi kumuomba hata siku moja ni hiyo siku tu ndo imetokea ukamuomba hela......baadae unampigia simu kumwambia mambo mengine hapokei simu zako wala kukujibu text......hivi kwanini inakuwa hivi naomba kujua
Ndiyo mkuu sasa kama mtu yupo sanawari na mimi nipo kijenge au hata mto wa mbu halafu tunaonana kwanini aseme nimrushie pesa?[emoji3][emoji3][emoji3]umbali wa kulala? Mkuu!
Ni ishara kuwa unajiuza
mwenzio anategemea sex na mpenzi wake
na wewe unachomekea shida ya pesa hapo hapo...
Mwanamke anaejiheshimu haleti shida ya pesa siku ya kukutana na mpenzi wake
subiri siku ingine kabisa zungumza shida zako
ikija siku ya kukutana...iwe ni mapenzi tu na sio kuuziana
Siku hizi umehama kambi? Haya mambo ya kuombana hela yanakihusu chama?Hata mimi lazima nijiulize mara tatu tatu.
Wewe unakuja kukutana na mimi. Sasa kwanini uniombe nikurushie pesa na wakati ukija ukaniomba face to face ndiyo rahisi?
Au kuna umbali wa kulala? Pia nitajua unaniomba pesa ili ujue mimi ni mtoaji au sio mtoaji! Na nisipokutumia ndiyo hauji.
Ewaa... wanawaacha wazazi wao wanatukimbilia sisi. Nadhani hawajui majukumu yetu makubwa ya kuhudumia michepuko mingi.Kwanini umuombe yeye na siyo wazazi wako?
Nilikuwa mbali na sehemu ya kuweka hela na uwa sina tabia ya kuomba hela......Hata mimi lazima nijiulize mara tatu tatu.
Wewe unakuja kukutana na mimi. Sasa kwanini uniombe nikurushie pesa na wakati ukija ukaniomba face to face ndiyo rahisi?
Au kuna umbali wa kulala? Pia nitajua unaniomba pesa ili ujue mimi ni mtoaji au sio mtoaji! Na nisipokutumia ndiyo hauji.
Hiyo sio shida ya pesa ila nilimuomba kwa kuwa nilikuwa mbali na hela nilikuwa nayo sema yeye ndo alikuwa mtu wa karibu angeweza kunisaidiaNi ishara kuwa unajiuza