Naomba kueleweshwa kuhusu cheque namba

Naomba kueleweshwa kuhusu cheque namba

maelezo yenu nimeyasoma na ni mazur,

ila ttzo mnachanganya hiz term mbili.....CHECK NUMBER NA CHEQUE NUMBER...mnatoa maelezo ya cheque nmba kwenye check number,

wengne wapo sahihi kbsa....
 
Sijawahi kufanya kazi serikalini wala sina mpango. Kutapeliwa ngumu sana kwangu mkuu. Ninaisikia sikia tu lakini sijawahi kuelewa ni kitu gani.
Hee
a5706090d0a6440c5e4153eab85408b5.jpg

I nakuwaga hapo chini kushoto namba nn e za mwanzo... Kama unasemea hizi za malipo
 
Sasa kitu ambacho huna issue nacho watakia nini kukijua? Ok cheque number ni namba ya hundi na inapatikana kwenye hundi ( cheque). Aya sasa ushajua what next?
Pale unapojifanya unajua kumbe hamna lolote, ameshakwambia " katika utumishi wa umma" wewe unaanza kumletea mambo ya hundi

By the way mshukuru sana muuliza swali sababu atleast now umepata maana nyingine utakayoitumia kubezea wengine huko uendako
 
Ningependa MTU mwenye kufanya utumishi serikalini au yeyote mwenye elimu anieleweshe cheque number ni kitu gani jinsi inavopatikana, anayeitoa, nk nk.. Akhsante.
Ni number anayotumia mtumishi kupokea malipo yake kutokea hazina ya serikalini
 
Pale unapojifanya unajua kumbe hamna lolote, ameshakwambia " katika utumishi wa umma" wewe unaanza kumletea mambo ya hundi

By the way mshukuru sana muuliza swali sababu atleast now umepata maana nyingine utakayoitumia kubezea wengine huko uendako
soma swali lake kisha soma nini nilimuuliza kabla, yeye aliuliza swali bila kujua nini anataka kujua, nikama alisikia kitu kijiwe cha kahawa sasa anataka kujua maana yake ni nini, kama kweli alikuwa anahitaji kujua angeweka wazi nini hitaji lake. kujua maana ya neno sio ujanja.
 
IQ ndio tatizo hapo
 
Cheque number ni kama namba ya utambulisho wa mtumishi wa serikalini inayotumika katika kumbukumbu zake za mshahara...mara nyingi namba hii hupewa watumishi ambao mishahara yao hupitia (H)AZINA
Sawa kabisa. Nakumbuka wakati nikifanya kazi, kwenye adress yako ulikuwa unandika cheque no. . Hiyo ndo ID yako. Sijui sasa wanafanyaje? Mie nilishayeyuka zamani unless ni mtumishi hewa kwa sasa.
 
soma swali lake kisha soma nini nilimuuliza kabla, yeye aliuliza swali bila kujua nini anataka kujua, nikama alisikia kitu kijiwe cha kahawa sasa anataka kujua maana yake ni nini, kama kweli alikuwa anahitaji kujua angeweka wazi nini hitaji lake. kujua maana ya neno sio ujanja.
We unaweza kuuliza kitu unachokijua? Ata maana ya swli inakushinda. Unajihisi mjanja kumbe low IQ kabisa.
 
Maelezo mazuri yametolewa. Nyongeza kidogo ni kwamba haitumiki kufanya malipo ya mishahara wala kuhifadhi michango kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii. Bali ni namba ya utambulisho kwa watumishi wa serikali ambao wapo katika Mfumo wa Taarifa Shirikishi za Utumishi na Mishahara (Human Capital Management Information System-Lawson). Taarifa mojawapo inayotolewa na Mfumo huo ni Payroll ya watumishi wa Serikali. Kimsingi, kwa sasa haitarajiwi mfumo huo ukubali watu wawili wenye majina yanayofanana kuajiriwa. Ni namna ya udhibiti iliyoongezwa ili kutokuwa na mtu mmoja mwenye namba mbili za utambulisho na hivyo kuwa na ghost workers.
Aidha, NSSF na PPF wanatumia namba tofauti za utambulisho wa wanachama wao badala ya namba hiyo.
 
kwaio mkuu kama mimi nimepeleka taarifa zenye majna mawili tofauti na mfumo uka reject je kuna uwezekano wa kufanyika marekebisho.
 
Kuna cheque namba na check namba, cheque namba ni namba ya hundi na check namba ni namba anayopewa mtumishi anapoanza kazi kama namba yake ya utambulisho.

Wengine wametoa maelezo ya check namba lakini wamekosea kuandika cheque namba. Hivyo mfanye marekebisho
cheque na check ni kitu kimoja yenye maana moja tofauti ni kuwa moja ni American English nyingine ni British English
 
Back
Top Bottom