Naomba kueleweshwa kuhusu aina za database

Naomba kueleweshwa kuhusu aina za database

zigi 01

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2017
Posts
325
Reaction score
198
Nimepata confusion kabisa kuhusu aina za database.

Kuna mwalimu alinifundisha two types of database: Flat file database and Relational database tu.

Sasa leo nimekutana na notes zina aina sita za database, sasa sijaelewa which is correct, msaada hapo.

20200206_153447.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unasoma Comp hafu hujui shortcut ya screenshot ya comp..
Press Windows logo + print screen button.
 
Nimepata confusion kabisa kuhusu aina za database.

Kuna mwalimu alinifundisha two types of database: Flat file database and Relational database tu.

Sasa leo nimekutana na notes zina aina sita za database, sasa sijaelewa which is correct, msaada hapo.

View attachment 1348427

Sent using Jamii Forums mobile app
Si uunganishe zote, kwani Kuna tatizo.
Ticha kakupa database chache ambazo ndo tunakutana nazo Mara kwa mara hapa Tanzania na bahati nzuri umejiongezea maarifa kusoma zingine.

Zisome zote utaona tofauti, Kisha amua ipi itakufaa maishani,
ukishindwa tutakunyambulia panapo majaliwa.
Wakati mwingime hiyo flat file na relational db ni model sio type sawa.

NB. Zingatia unavyofunfishwa na ticha uko chuoni, isijetokea ukasapuka Kwa namna flani, Mengine ukiambiwa chuoni na ticha fanya hivyo hivyo na haya uliyo search yabaki moyoni mwako.
Elimu elimu, elimu ya chuo dah!
 
Akikufundisha zote utachanganyikiwa kwenye mitihani
Alafu mwambie akuelekeze vizuri flat file databases ametoa nchi gani ikiwezekana akupe mfano uweke daya mbili tatu
 
Back
Top Bottom