Naomba kuelekezwa

Naomba kuelekezwa

Bhakusyobhile

Member
Joined
Aug 1, 2018
Posts
71
Reaction score
210
Wasambazaji wa mbolea (YARA),wapo maeneo gani pale kurasini,? Je nikiwa k/koo gerezani nipite njia ipi ili niweze kufika.?
 
Sina shida na yara,ila kuna kitu nakifuata jirani na hapo yara,so nahitaji maelekezo jinsi ya kufika hayo maeneo
 
Mzee zingatia Matumizi ya google Navigator. Unaweza kwenda sehemu yoyte duniani

Siyakukothamela Sonini na nini
 
Ninachotaka kujua ni napanda daladala zip nikitoka k/koo na nashukia kituo gani nikifika kurasini. only that.
 
Back
Top Bottom