Naomba kuelekezwa

Naomba kuelekezwa

Bhakusyobhile

Member
Joined
Aug 1, 2018
Posts
73
Reaction score
216
Wasambazaji wa mbolea (YARA),wapo maeneo gani pale kurasini,? Je nikiwa k/koo gerezani nipite njia ipi ili niweze kufika.?
 
Sina shida na yara,ila kuna kitu nakifuata jirani na hapo yara,so nahitaji maelekezo jinsi ya kufika hayo maeneo
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Huyo mtu ulie pewa namba hawez kukuelekeza? Au ni kitu gani kingine unatafuta

😀ont folo folo me wizout ene bikoz:

Siyakukothamela Sonini na nini
 
Mzee zingatia Matumizi ya google Navigator. Unaweza kwenda sehemu yoyte duniani

Siyakukothamela Sonini na nini
 
Ninachotaka kujua ni napanda daladala zip nikitoka k/koo na nashukia kituo gani nikifika kurasini. only that.
 
Back
Top Bottom