Naomba kuelekezwa namna ya uandishi wa barua ya kuomba ajira ya kujitolea

Mbaga Jr

JF-Expert Member
May 28, 2018
19,309
42,325
Nakaribia kumaliza Chuo mwezi wa 8, nimepanga baada ya kumaliza masomo yangu niandike barua kwa ajili ya kufanya kazi kwa kujitolea kwenda moja ya makampuni ya utangazaji.

Naomba kuelekezwa jinsi ya kuandaa barua kwa ajira ya kujitolea.
 
Mkuu
Unamaliza Chuo Hujui Kuandika Barua Za Namna Hiyo Zinazofundishwa Shule Ya Msingi, Secondary
Huko Mbele Ulikofika Ulitakiwa Uyajue Haya Yote
Asa wanafundisha hv vitu shule ya msingi.. Mtoto wa shule ya msingi anaombaje kazi??
Hv vitu ilibidi wafundishe watu wazima bhna.
 
Barua ya kujitolea haina tofauti na barua ya kuomba kazi sfa na muongozo nk ule ule moja ya vitu muhimu ni uzoefu wako, nini utaifanyia kampunia kwa uzoefu wako, elimu yako, availability yako na vingne vya msingi.

Goodluck!!
 
Mzee umefikiria kitu sahihi kabisa nakumbuka mimi nilivyomaliza chuo those days,niliomba internship kwenye taasisi ya serikali nilijifunza namna ya kufanya kazi na namna ya kubehave ofisi za umma ila nilivyomaliza mtihani wa UE nilipumzika wiki moja nikaanza kazi but huwezi pata intern kirahisi lazima ujuane na watu,ukipeleka barua eti unasubiria majibu hutojibiwa kamwe.

Ushauri wangu nenda ofisi za kampuni binafsi,serikalini hata ukifanya intern vizuri hamna kupata kazi directly utakuja kupambana na watu wengine ajira portal.
 
Nakaribia kumaliza Chuo mwezi wa 8, nimepanga baada ya kumaliza masomo yangu niandike barua kwa ajili ya kufanya kazi kwa kujitolea kwenda moja ya makampuni ya utangazaji.

Naomba kuelekezwa jinsi ya kuandaa barua kwa ajira ya kujitolea.
Je umesomea mambo hayo ya utangazaji? Au yanayohusiana?
2. Barua hiyo ni mfano tu wa kawaidA wa barua rasmi unachobadilisha we ni maudhui. Ongeza na CV yako
 
Mkuu
Unamaliza Chuo Hujui Kuandika Barua Za Namna Hiyo Zinazofundishwa Shule Ya Msingi, Secondary
Huko Mbele Ulikofika Ulitakiwa Uyajue Haya Yote
Sio mbaya anajua Sana sema Nini ameomba ushauri ili afanye kitu unique coz anachotaka kufanya ni kitu kinachohusu maisha yake ya kesho kwa asilimia zaidi ya 50 pengine
 
Mkuu
Unamaliza Chuo Hujui Kuandika Barua Za Namna Hiyo Zinazofundishwa Shule Ya Msingi, Secondary

Huko Mbele Ulikofika Ulitakiwa Uyajue Haya Yote
Sijaona umuhimu wa koment yako ila hy n barua ya kujitolea sasa cjui n tofaut na ya kuomba Kaz au vp ndio maana nkauliza
 
Asa wanafundisha hv vitu shule ya msingi.. Mtoto wa shule ya msingi anaombaje kazi??
Hv vitu ilibidi wafundishe watu wazima bhna.
Mwaka wa kwanza kwenye course ya 'Communication Skills'
Au form 4 siku hizi wanafundisha vitu gani?
 
Back
Top Bottom