Naomba kuelekezwa kuhusu bachelor of science in chemistry

mm nakushaur soma education tu,, hii kozi ajira zake nyingi ni viwandani lkn kpt kazi taasis kama TBS,TFDA,TBL, COCA, ambako kuna mshahara mzur ni vigumu kwa sababu ya ushindani na wanaangalia perfomance kuanzia o*level hadi chuo,, sehemu zingine ambako ni rahis kupata kazi wanalipa mishahara ya ajabu .mfn graduate anambiwa lk 3,, na hapo uingie kuanzia saa 2 hadi saa 11.
 
Back
Top Bottom