kdom
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 238
- 146
Mimi ni mwalimu mwenye level ya diploma katika masomo ya kemia na hesabu nataka nikajiendeleze degree kwa course (bachelor of science in chemistry) ambayo siyo ya ualimu, je inalipa na ni field gani naweza kufanya kazi kwa hiyo course? Kwa wataalamu ushauri tafadhali, matusi Hapana kabisa.