Lukumbisi
Senior Member
- Jan 28, 2022
- 110
- 188
Mimi ni Medical Lab Personel nina Diploma ya taaluma tajwa hapo juu.
Nimekuja mbele ya jukwaa hili nipate japo ushauri na maelezo yakunijenga.
Nilipata wazo la kufungua maabara ya vipimo vya magonjwa ya binadam maeneo ya vijijini lakini sina mtaji zaidi ya hili wazo, nikapata wazo nitafute sponsor na kweli nimempata, lakini huyo sponsor anataka analysed bussiness plan ili aone kama anaweza kunisaidia kwa kiwango gani.
Tatizo linakuja kuwa sina idea ya namna ya kuandika hiyo Bussiness plan, Naombeni msaada wa namna ya kuandaa ni vitu gani vinatakiwa.
Naomba kuwasilisha.
Penye makosa ya kisarufi na kimantiki nirekebishwe.
Asanteni