RO7 ZA MGOS
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 2,431
- 7,039
Pole sn ila yatima mwsho miaka 18.... Upo mkoa gan kama upo geita au kahama n pmHabarini wana jamii
Naitwa Oliver Prosper
Elimu kidato cha 6 (St. Anthony)
Umri 30
Wanajamii mimi binti ambaye ni yatima tokea baba yangu afariki maisha yamekuwa magumu sana
Nawaomba mwenye kunisaidia kibaru chochote nipo tiyari
Nitashukuru mnoo
+255 742 898 111