Naomba kibarua chochote

Naomba kibarua chochote

Sina ila niliwah kujishikiza idara ya fedha hindu mandal hosp kwa muda wa mwaka 1
Tafuta ujuzi wowote uwe wa kushona nguo, kushona viatu n.k na huu utajifunza ukiwa karibu na hao watu; kuwa na ujuzi fulani ni rahisi kusaidika
 
Ndugu Oliver umeshaoa?
IMG_20230419_193623.jpg
 
Umemsahau huyu mribu? Kuna siku aliandika anaitwa Asha yupo Arusha anatafuta marafiki akaweka na picha ana vipini kila kona masikioni, puani, usoni.....haumkumbuki???
Leo kaja kivingine😁😁😁
Duh basi kazi ipo.. Nakumbuka
 
I'm sorry my sister, uyatima una kikomo, 30 years unfortunately huwezi kujiita yatima ukaitikwa kwalo.

Naomba Mungu akuwezeshe uvuke kipindi kigumu kama alivyotuwezesha sote maana wengi wetu tunapita hayo na kuzidi ila tulivuka salama na sasa tunamshukuru Mungu.

Atatokea wa kukushika mkono kukuvusha believe me.
 
30 years Oliva na unajiita yatima,
Una uwezo Gani? Hilo la uyatima baadae wewe ni mtu mzima
 
Uza smati foni hiyo upate mtaji wa kuuza hata aisikrimu,,,###yatimaHadeki###
 
Habarini wana jamii
Naitwa Oliver Prosper
Elimu kidato cha 6 (St. Anthony)
Umri 30

Wanajamii mimi binti ambaye ni yatima tokea baba yangu afariki maisha yamekuwa magumu sana

Nawaomba mwenye kunisaidia kibaru chochote nipo tiyari

Nitashukuru mnoo

‪+255 742 898 111‬
Miaka 30 siyo yatima tena hata hivyo pole kwa kumpoteza mzazi na kama matatizo yamekuzidi una haki ya kuomba kusaidiwa lakini usitumie hoja ya uyatima.
 
Back
Top Bottom