Naomba kazi

9D niko front mhishimiwa
 
Jamaa kumbe ndo huwaga uko hivi humu jukwaani nilikuwa nakuona ni mtu smart sana aisee kumbe upande wa pili ndo uko hivi

We haujawahi kutafuta kazi? Au kutafuta kazi ni kitu cha ajabu?
We kazi yako c uchawa
Unatafta kazi ya nini tena stupid wewe
 
Ntakupa mchongo wa kuzitia rungu nyumbu zilizopanga maandamano uchwara ya wizi za mali za watu na kuharibu, kigezo ni uwe na uwezo wa kupiga rungu 30 ndani ya sekunde 1
 
Platinum Credit Limited ni kampuni inayotoa mikopo kwa Watumishi wa Umma, wafanyabiashara na wafanyakazi kampuni binafsi.

Wanaahitajika Mawakala wa Mauzo mkoa wa Dar es salaam

SIFA ZA MUOMBAJI:
  • Awe na elimu kuanzia kidato cha nne
  • Mwenye utayari wa kujifunza
  • Uzoefu wa kazi za mauzo na masoko
  • Awe mwaminifu na mwenye kujitambua
  • Umri usiopungua miaka 20

MAOMBI:
Muombaji atume nakala ya wasifu (CV) Kupitia njia zifuatazo
Email: ally.kafuku.platinum@gmail.com
Whatsapp: 0757962335
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…