Naomba kazi

Kijana kuanzia asubuh mpaka jion unamtetea Samia wakati hata kazi huna?!!
 
Njoo tar 9 December location kwa Gwajima.
Hiyo siku kuna michongo mingi itapatikana baada ya kupata ukombozi.
 
Mkuu nimekukosea nini? Mbona unatumia nguvu kubwa kunichafua hii issue tushaisort out acha kujisumbua
Fungua thread waombe msamaha uliowabeza, uliowaudhi kwa maandishi yako ya kubeza harakati za Gen Z, omba radhi kwa kuungana na kutetea utawala dhalimu na haramu na uache uchawa. Mi sina chuki na wewe ila nlikuwa naona sana michango yako kwenye movement ya Gen Z.
 
Sawa mkuu tuko pamoja
 
Mimi nataka uwaziri wa fwedhaa
 
Mwanachama wa chama cha Gen Z

Kazi ya kiwandani masaa ni mengi sana ya kazi halafu ujira ni mdogo 4000 per day kula ni mchana tu au usiku tu na kazi ni nzito
Kujikomba kote kule kumbe unatafta kazi
Endelea kutafta kazi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…