Naomba KAZI yoyote

Naomba KAZI yoyote

Naisikia tu sijawahi iona
Ni pombe ya mwendokasi sana ambayo huchemshwa makorongoni kwa Siri sana maana ni haramu kutokana na kiwango chake kikubwa cha kilevi.

Miaka kadhaa iliyopita nilipendelea kuigigida hadi midomo yangu ikawa kama firigisi la kuku.

Ni tamu ila inaua.
 
Nina miaka 25
Elimu ni shahada ya maendeleo ya jamiii.
Mahali ni Dar es salaam
Naombeni KAZI yoyote ndugu zangu.

Ya kutumia nguvu akili nk
Ila isiwe kazi haramu hata kama ni haramu niambie niangalie risk zake kwanza.

Ahsante sana
 
Hapana kaka mimi nafanya KAZI yoyote ila iwe salama isiwe sababu ya mm kwenda jela au kumkosea Mungu kama unaweza nidaio

Mkuu acha kunisimanga
Kwamba?

Haya kuna hii
👇
 
Pole sana najua kwenye jukwaa kuna wahitaji na ambao sio wahitaji lakini pia kuna wapiga doria waleeee kwa hiyo njia hii sasa hivi ngumu kukupa connection hakuna anaemuamini asiyemjua.
 
Pole sana najua kwenye jukwaa kuna wahitaji na ambao sio wahitaji lakini pia kuna wapiga doria waleeee kwa hiyo njia hii sasa hivi ngumu kukupa connection hakuna anaemuamini asiyemjua.
Ungemjibu kwa ile ID nyingine mkuu 😁
 
Back
Top Bottom