4GPA
Member
- Oct 31, 2015
- 85
- 82
Habari zenu wakuu,
Nawasilisha maombi kwenu wakuu hali ni mbaya Kielimu nilichonacho bado hakinipi unafuu wa maisha, Naomba mwenye connection ya kazi yoyote mkoani Mtwara iwe kazi ya mikono iwe ya nilichosomea zote napokea, nina umri wa miaka 29 na elimu yangu ni DIPLOMA IN INFORMATION TECHNOLOGY, kazi yoyote na popote nafanya, nipo tayari kufika popote kwenye uhakika wa riziki
0624781827 kwa mawasiliano
AHASANTE.