Exformer
JF-Expert Member
- Nov 12, 2018
- 856
- 989
Kaka kigoma kwenye mashirika na NGOS kuna hela ila ukifanikiwa kupataSawa
Kuna demu ni mwalimu alianza kuomba since 2019 na hakuwai kuitwa hata sahili moja NGOs yoyote
Mpaka mwaka jana mwezi wa 3 ndio akaitwa kwenye NGOs moja kubwa saana ana mkataba wa miaka mitatu salary ya 3.4 milioni na malupulupu kadhaa
Sasa yupo anasimamisha nyumba za kupangisha kwa fujo kasulu
Anasema hataki TENA umasikini anajijengea misingi imara but she is single mother
Nipo huku ila sipo kitengo kaka maana nasaka hata kujitolea nakosa
Aisee kama hautajali tuongee machache inbox
Sent using Jamii Forums mobile app