Naomba kazi siitwi hata kwa interview

Naomba kazi siitwi hata kwa interview

Sawa
Kuna demu ni mwalimu alianza kuomba since 2019 na hakuwai kuitwa hata sahili moja NGOs yoyote
Mpaka mwaka jana mwezi wa 3 ndio akaitwa kwenye NGOs moja kubwa saana ana mkataba wa miaka mitatu salary ya 3.4 milioni na malupulupu kadhaa
Sasa yupo anasimamisha nyumba za kupangisha kwa fujo kasulu

Anasema hataki TENA umasikini anajijengea misingi imara but she is single mother
Asante Sana kwa Encourage.
 
Msaada wakuu shida iko wapi?
Shida ipo pale kwenye Million 2 na marupurupu kwa Mwezi, hakuna anaepanda ngazi akafurahia kushuka wewe ushazoea maisha ya Million 2 leo hii mtu akwambie anakulipa 200,000 au 300,000 kwa mwezi utamuona km anakuzingua tu huwezi fanya kazi za Bei rahisi, Suluhu ni moja tu JIAJIRI MWENYEWE
 
Habari.

Naomba Sana kazi sipati.

Kiukweli mwaka Jana nilipata fursa ya kupata kazi sehemu mbili Ila zote sikuweza kwenda maana kuna kazi ya shirika nilikuwa nalipwa malipo kama 2M bado marupurupu.

Ila Haikuisha hivyo mkataba ukaisha na zile kazi mbili nilikuwa nimekosa hiki kitu kinaniuma mpaka Leo.

Mwaka huu mwanzoni nimekuwa nikiomba kazi kwa kazi, nilifanya interview Nne na nikaishia kupata kazi ya kujitolea na mshahara kadogo na kazi ya kitumwa japo proffesional yangu.

Nimeendelea kuomba kazi Ila sijaitwa tena kwa interview licha ya kuomba sehemu nyingi.

Na Hapa nilipo hakuna Future.

Msaada wakuu shida iko wapi?
mabloo wanasema ujiajiri usisubirie kuajiriwa.
 
hujasema hata proffession yako ni nini
 
Shida ipo pale kwenye Million 2 na marupurupu kwa Mwezi, hakuna anaepanda ngazi akafurahia kushuka wewe ushazoea maisha ya Million 2 leo hii mtu akwambie anakulipa 200,000 au 300,000 kwa mwezi utamuona km anakuzingua tu huwezi fanya kazi za Bei rahisi, Suluhu ni moja tu JIAJIRI MWENYEWE
Ila nishabadilisha mindset lakini
 
Sawa
Kuna demu ni mwalimu alianza kuomba since 2019 na hakuwai kuitwa hata sahili moja NGOs yoyote
Mpaka mwaka jana mwezi wa 3 ndio akaitwa kwenye NGOs moja kubwa saana ana mkataba wa miaka mitatu salary ya 3.4 milioni na malupulupu kadhaa
Sasa yupo anasimamisha nyumba za kupangisha kwa fujo kasulu

Anasema hataki TENA umasikini anajijengea misingi imara but she is single mother
God is real
 
Change your attitude.
I second this advise. Nilimalizaga chuo mwaka 2018. Nilikuaga na attitude ya kishule shule. Life humbled me kiukweli. Nilishauza hadi utumbo majumbani kwa watu. Wengne wanatukopa na mitaji inakufa. Siwezi kuandika all that I passed through maana kuna waliopitia magumu zaidi yangu.

Nakumbuka interview moja nilifanya mwaka 2018 na ya pili nilifanya 2021..zote nikakosa. Anyways nikaendelea na hustling za kitaa ambazo unapata hela ya vocha tu. Ila Mungu akisema sasa ni muda wako hakuna wa kuzuia. So nikaja kufanya interview ya tatu hapa nyuma kidogo. Nikaipata ile kazi though ilikua na mshahara kidogo kwa maoni ya jamii lakini kwangu ulikua ni milioni kabisa. Ilikua ni ya daycare. Nikaipenda na nikaifanya kwa moyo.

Baada ya muda mfupi nikaja nikapata kazi ingine ambayo ni ya kampuni flani. And its where I am now. What I know, sijali kuhusu mshahara mkubwa maana hizi kazi ni transitional tu. Life has made me really humble. Hata nikipata dili la 10,000 saiv siwezi kulidharau. I have learnt that Mungu anapokufanyia njia na anapokupa nafasi itumie vizuri kwa UTUKUFU WA JINA LAKE.

Nidhamu ya pesa, uadilifu, imani, upendo, utu wema, hekima vyote vinatakiwa viende sambamba. Kuna wengine tunapopata nafasi na kuna watu chini yetu basi mabega yanakaa juu bila kujua unaweza kutoka saa yoyote ile. Aina ya kazi, Cheo, Kiwango cha mshahara si kila kitu. God is EVERYTHING. Lets walk on HIS principles ili our career life iwe prospered.
 
Sema ukweli kwanza, maana ukweli utakukomboa, its seems hujakaa miezi minne mtaana huna kazi labda miaka minne etc, weka wazi proffessional yako unaweza pewa mawazo ya ziada kutanua wigo wa kuajiriwa, na cv yako ipo sawa maana kifumo inabadilika weka templets za kisasa siku hizi tunaangalia sana archievments na projects, tunaanza kuondoka kwenye kuangalia experience
Nimepata kitu kutoka kwako mkuu. Asante.
 
Sema ukweli kwanza, maana ukweli utakukomboa, its seems hujakaa miezi minne mtaana huna kazi labda miaka minne etc, weka wazi proffessional yako unaweza pewa mawazo ya ziada kutanua wigo wa kuajiriwa, na cv yako ipo sawa maana kifumo inabadilika weka templets za kisasa siku hizi tunaangalia sana archievments na projects, tunaanza kuondoka kwenye kuangalia experience
Aisee nimerudi kutafuta hii post na kutafuta hii point ili nirekebishe cv yangu labda nitatokea hapo. Be blessed bro.
 
Hahaha yaani miezi 4 tu unaanza kulalamika ? Hizo 2m hukuwa unawekeza? Kama ulifanya kufuru hayo ndo malipo!

Watu wana miaka kadhaa wanaomba na hawajaitwa wewe unasema eti tangu mwezi wa kwanza. Aisee! Au siyo nchi hii??

Uwe na aibu mkuu.
Yani mi nmekuja najua namfariji mwenzangu kne mtu ashafanya na kazi ashalipwa mpaka 2m na anajitolea mahala anaomba tangu january ndo haitwi watu wana miaka mi5 hawaitwi
 
Hata utumishi hawakuiti??.
Hizi private sector bila connection kutoboa ngumu sana au uwe na uwezo sana/ experince ya kutosha.

Assume nafasi zinatoka zinataka watu 5 pale CRDB HR wanataka kupitisha watu wao, bado managers afu wewe from nowhere wakuite?? Haimake sense kabisa. Tuendelee kuomba Mungu
 
Back
Top Bottom