Julius solomon
Member
- Jul 28, 2019
- 21
- 22
.
Nina uzoefu na hiyo Kazi mkuu ndiyo maana nikaandika hivyo.Kwanini supermarket?
ulichukua masomo gani?nimemaliza kidato cha sia
Nimerekebisha Mkuu nimesoma masomo ya sanaa mkuu kama kuna Kazi nisaidie kijana wako.ulichukua masomo gani?
NAFASI ILIKUWEPO YA CASHIER SASA WEWE NA NAMBA WAPI NA WAPIN
Nimerekebisha mkuu nimesoma masomo ya sanaa mkuu kama kuna Kazi nisaidie kijana wako
Mkuu hesabu naweza niamini mkuu wanguNAFASI ILIKUWEPO YA CASHIER SASA WEWE NA NAMBA WAPI NA WAPI
Unaniharibiaje mkuuU-jkt unakuharibia angalau kwenye sekta binafsi
Mkuu kama kuna Kazi nisaidie kijana wakoKwanini supermarket?
Mkuu sichagui Kazi Bali hayo ni mapendeleo yangu lakini kama kuna Kazi nyingine mimi niko tayari mkuuUsichague kazi anza na fursa za mtaani kwako kipindi unasubili iyo supermarket
Mkuu sichagui Kazi Bali hayo ni mapendeleo yangu lakini kama kuna Kazi nyingine mimi niko tayari mkuu
Waajiri wengi mishahara inasumbua sometimes, sasa ujeshi unaweza kuwarusha watu vichura (natania jamani)U
Unaniharibiaje mkuu
Nafaham mkuu vipi we huwezi nisaidia Kazi!Cha msingi kuwa tu makini kwasababu matangazo mengi ya kazi za supermarket huwa ni za matapeli.
Hahahahaaaa hamna mkuu kama kuna Kazi we niunganishe au nipe mambo ya mshahara ni ziada mkuu.Waajiri wengi mishahara inasumbua sometimes, sasa ujeshi unaweza kuwarusha watu vichura (natania jamani)