cleaner wrasse
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 9,078
- 10,118
Chambega
Chinaman, choka, chadibwa, Chogo, chakongo, Chaarusha, mpe majina haya kama Baba mwenyewe hamnazo, kama upo vizuri nitakupa majina exceptionalNaomaba nisaidie kutafuta jina la mtoto wangu wa kiume. Ila lianze na herufi C
Chakubanga
Mpe jina la Clever au vp ndg yangu ? Ni jina zuri sana kwa mtoto wa kiume.
Cinderela
CAGNaomaba nisaidie kutafuta jina la mtoto wangu wa kiume. Ila lianze na herufi C
Dah kwa hiyo hapa ndio umetoa majina ya maanaWewe ndugu hapa utapewa majina ya ajabu .
Muite mtoto jina la vitu halisi
Mfano Bank kuu ya Taifa ,
Bangi, au kilimo kwanza