Naomba jina la mtoto wa kiume linaloanza na C

Naomba jina la mtoto wa kiume linaloanza na C

Dah....
Chakubanga....
Chakuokota
[emoji41]

Sent using Beretta ARX 160
 
[emoji3][emoji3][emoji3] JF raha sana ...... Unaambiwa jina lenye herufi C mtu anaandika Ndugai
 
Kuna jamaa amesema muite chomeka..

Mwingine chakubanga,muite

Mie nakushauri muite crdb,

Itasound sana ukiitwa baba/mama crdb
 
Back
Top Bottom